Jaribio hili la maswali hupima uelewa wako wa nahau za Kiswahili. Kabla ya kuanza, soma maelezo mafupi yafuatayo kuhusu semi na nahau ili uwe tayari kujibu maswali.
Member Login
Access your exclusive learning dashboard, track your progress, and pick up where you left off. Enter your credentials below to log in.
[swpm_login_form]
New Here? Create Your Free Account
Join our community of learners to unlock full course materials, take quizzes, and earn certificates. Registration takes less than a minute.
[swpm_registration_form]
Nahau ni nini?
Semi ni tungo au kauli fupi za kisanaa zinazotumia picha na tamathali kuelezea maudhui yenye maana au mafunzo muhimu kwa jamii. Mfano mzuri wa semi ni nahau. Nahau ni vifungu vya maneno ambavyo huundwa kwa kitenzi na nomino, na maana yake haitokani moja kwa moja na maana ya kila neno lililotumika.

